Wow! so hii ni kuonyeshana nani ana hela zaidi ya mwenzie...
Aisee, if this is all true, then pole Flora....
Wema Sepetu the DIVA!! kila wiki lazima kuna kitu kinachosemwa kuhusu Wema. Sasa anaumwa pia kama alivyo umwa Diamond Platnumz wiki iliyo pita, na anatibiwa hospitali ile ile aliyotibiwa Diamond...ila pole sana Wema.
Duu! listi zao ni ndefu mno...khaah!
Image credit: Millard Ayo
Follow me on Twitter @Nyamtee and on Facebook @leilamaingu for more news, entertainment, celebrity gossip and more....
No comments:
Post a Comment