Baada ya miaka 4 Fina Mango arejea kwenye masikio yenu kupitia Magic FM na kipindi kipya cha Makutano kitakachokua charushwa kila Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12jioni kwa mlioko Tanzania. Jumamosi iliyopita ndio kipindi cha kwanza kilikuwa on air, katika mengi yatakayokuwamo ni pamoja na mjadala wa mafao ya uzeeni, habari zilizoandikwa na kua gumzo zaidi kwenye magazeti ya wiki.
Usikose kusikiliza.
Follow me on Twitter @Nyamtee and on Facebook @leilamaingu for more news, entertainment, celebrity gossip and more....
No comments:
Post a Comment