Sunday, 5 August 2012

Breaking News: Dalili za Ebola Tanzania

Watanzania huenda wakakumbwa na ugonjwa hatari wa Ebola endapo serikali haitachukua hatua za haraka kudhibiti wimbi la wageni kutoka nchi jirani baada ya mtoto mwenye umri wa miaka sita mkazi wa Murongo mpakani mwa Tanzania na Uganda wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera kubainika anadalili zinazofanana na ugonjwa wa Ebola.





Habari kwa hisani ya ITV Tanzania
Follow me on Twitter @Nyamtee and on Facebook (leilamaingu) for more news, entertainment, celebrity gossip and more....


No comments:

Post a Comment