Tuesday 31 July 2012

Hali ya Diamond Platnumz sio nzuri sana...anaumwa!

Hii ndio picha aliyoiweka msanii wetu maarufu kwa jina la Diamond Platnumz kwenye tweeter yake huku akisema , 'Duh hali yangu sio nzuri sana. Naumwa.' Pole sana Diamond. Tunakuombea upone haraka!!

No comments:

Post a Comment