Saturday 14 July 2012

Lowasa na JK wakiwa pamoja London 12th July...


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012

Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment