Monday, 16 July 2012

Baba Mzazi wa Diamond Platnumz alalamika kuwa Diamond hamthamini tangu apate mafanikio...!!Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’

Mzee Abdul Juma.

Baba yake Diamond(Mzee Abdul Juma) amelalamika kuwa tangu mwanae (Nasibu Abdul Juma 'Diamond Platnumz') hamthamini tangu apate mafanikio. Wale waliodai kuwa ni ndugu za Diamond, waishawahi kusema kuwa Baba wa Diamond (Mzee Abdul Juma) alishafariki dunia tangu 2004.

Aisee hii kali!!


Habari kwa hisani ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment