Monday, 3 March 2014

Ruth Suka aka Mainda akitiririka kuhusu uhusiano wake na Vincent Kigosi aka Ray

Msanii mkongwe katika filamu za Kibongo, Ruth Suka 'Mainda' ameibuka kueleza mengi ikiwemo mahusiano yake na mpenzi wake wa siku nyingi, Vincent Kigosi. Hii video ilikuwa published last year November 2013.  Msikilize....


Duu! Wasanii wa bong movie are just full of drama! It's so sad they way huyu Mainda devoted her time kukaa hapo na kitusimulia all that happened, halafu anadai anawaheshimu sana hao watu, hataki kusema mengi. Seriously?! Kama kweli anawaheshimu asingekuwa hapo kuhadithia jinsi Ray alivyomcheat na rafiki yake. 


Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....



No comments:

Post a Comment