Tuesday, 11 March 2014

Diva azungumzia mahusiano yake na GK,Prezoo na Mr Politician….

Hivi karibuni baada ya Mahusiano ya Kimapenzi kati ya Mtangazaji maarufu wa Radio na Msanii King Crazy GK, Sisi tunayaita mahusiano kati ya Gangstar (GK) na Sister Du (Diva) fans wa wawili hao wamekuwa wakijiuliza maswali menge bila kupata majibu kutoka kwa Mastar hao wawili, kwa mfano je walikutana vipi mpaka wakaamua kuingia kwenye mahusiano, wana mpango gani huko mbele na vitu kama hivyo. 
Sasa gazeti la makorokocho online limekaa chamber na Mwanadada Diva Loveness Love ambae ni Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM.





Source:gumzolajiiji
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for News, Fashion, Entertainment, Celeb Gossip and more.....

No comments:

Post a Comment