Monday, 16 July 2012

Wazazi wa Lulu Michael wako Matatani...



Elizabeth Michael ‘Lulu’

 
Baba Lulu (Mzee Michael Kimetameta) na Mama Lulu (Lucresia Karugila)

Kwa kweli wazazi wa Lulu waweza kuwa matatani kama ni kweli Lulu yuko chini ya umri wa miaka 18, then inamaanisha kuwa Lulu alitakiwa kusimamiwa na wazazi wake kimalezi etc. Kwa hapo Lulu alipofikia sasa, inaonyesha kuwa wazazi wake walishindwa kumlea na kumlinda mtoto wao. Inasikitisha sana!!



Habari kwa hisani ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment