Tuesday, 19 November 2013

Tanzania na Siasa: "Kama tunalitakia amani Taifa Hili, lazima baadhi ya watu wapelekwe Milembe kwa nguvu" -Reginald Mengi


Reginald Mengi alisema kupitia twitter account yake, "Kama tunalitakia amani Taifa Hili, lazima baadhi ya watu wapelekwe Milembe kwa nguvu"
Unadhani anamaanisha nini??


Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....

No comments:

Post a Comment