Diamond Platnumz
Prezzo
Prezzo na Diamond Platnumz wana issues going on...according to Bongo5 news, Prezzo amekataa kuomba msamaha kwa Diamond via Twitter kwa madai kwamba Diamond ndiye aliyeanza uchokozi. Wakati Diamond alipotumbuiza kwenye tamasha la Matumaini mwanzoni mwa mwezi huu, ndipo Prezzo alipogundua kwamba Diamond alimponda sana kwenye magazeti ya Tanzania kwamba Prezzo hawezi mfikia yeye kwa lolote kwenye Muziki.
Prezzo alisema,
"Mimi sipendi kuwa na adui kwa sababu muziki unafaa kuleta muungano. sa me nikashangaa mbona huyu brother ananiingilia na huku sikumbuku kumkosea wala hatujawahi kukutana ana kwa ana."
Hii inaonyesha kwamba Diamond anapenda uchokozi. Au ndio anataka kuwa kama American rappers wanaopenda kuanzishiana beef zisizokuwa na kichwa wala miguu...
Kama ni kweli, then inaonyesha ni kweli mambo ya kitoto na ya kizamani sana!
Nani zaidi kati ya Diamond na Prezzo?!
Credit:bongo5
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....
No comments:
Post a Comment