Sunday, 21 July 2013

MIMI NA TANZANIA TATIZO LA MAJI KATIKA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI




Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....

Bongo Celeb News: WEMA SEPETU AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE..!!

http://watemi.com/maraha/wp-content/uploads/sites/4/2013/07/WEMAAFUTURU5-240x306.jpg
Mrembo wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' au Madam, jana alifuturu pamoja na wageni wake nymbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wageni waliofuturu pamoja na Wema ni Omar Nyembo 'Ommy Dimpoz', Petit Man 'Wakuache' na wengineo....

WEMAAFUTURU1

WEMAAFUTURU3

WEMAAFUTURU4




Credit:GlobalPublishers/bongonews/bongotalk
Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....




Saturday, 20 July 2013

millardayo.com M2TheP XXL Interview July 17 2013 .




Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more......

Friday, 19 July 2013

JAGUAR CHICK! Kelly Rowland Named BRAND AMBASSADOR For Luxury Car Company

 photo 827e4bb2edac11e2988a22000a1fbac2_7_zps22ff3cfe.jpg
Kelly Rowland just landed a new gig. And reportedly, it's a high end ridiculously sexy one....

 photo ea3ca09ce85b11e295ed22000a1fc78a_7_zpsfc2f58fe.jpg

 photo Untitled-2copy-90260_zps60f4b29e.jpg
She tweeted these pics recently saying, "Cruisin in my #F-type @jaguarUSA! Shooting commercial latemiaminights 
The jag is everything! Supersexy!!!"



Imagecredit:Kelly's IG
Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment,celeb gossip and more.....


Thursday, 18 July 2013

MIMI NA TANZANIA-NINI KIFANYIKE ILI KUTOKOMEZA USHOGA




Follow me on Facebook @leilmaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....

Music Fab: Gelly wa Rymes-Lovely

It's been a while since I heard a song from Gelly wa Rymes, 
do we like his new song or?!



Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....

Wednesday, 17 July 2013

Bongo Celeb Gossip: DIAMOND ANASWA AKIFUTURU NA KIMADA WAKE, MAUSTADHI WAMCHARUKIA NA KUGEUKA MBOGO..!!

HIVI karibuni mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa akifuturu na hawara yake, Penniel Mungilwa ‘Penny’, kitendo ambacho kimewashangaza wengi na baadhi kufikia hatua ya kumponda kuwa anakwenda kinyume na Uislam. 


Tukio hilo lilijiri nyumbani kwa Diamond maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar ambapo mbali na mastaa hao, pia walikuwepo waumini wengine wa dini hiyi waliokuwa katika chakula hicho kitakatifu.
.

Waumini wamponda
Wakizungumza na gazeti mara baada ya kumuona Penny ambaye ni demu wa Diamond akiwa eneo hilo, baadhi ya waumini walisema walishangazwa na uwepo wake kwani sheria ya dini ya Kiislam hairuhusu kuwa karibu na kimada hasa katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Walisema, Diamond hatakiwi kuwa karibu na Penny si kwa kipindi hiki tu bali hata baada, mpaka pale ambapo atatoa mahari na kuozeshwa kwa kufuata misingi ya dini ya Kiislam.
"Huyu kijana kafanya jambo zuri la kuwafuturisha wenzake ila amekosea kumualika yule mwanamke wake, yule kwake ni kimada na kwa sheria za dini yetu huruhusiwi kabisa kumkaribia, sasa ona wanafuturu pamoja na wanashikanshikana, ile siyo sawa," alisema muumini mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake.

PLEASE VOTE FOR SPORAH SHOW....

Diamond having an Interview at the Sporah Show



The Sporah Show is proud to have been nominated by the British Young Business Awards in the Best Social Enterprise category which will take place on the 12th August 2013.
Please vote for Sporah 
at 
http://www.invinciblebusiness.com/british-young-business-awards/voting/
or you can vote via www.sporah.com



Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....




Ally Rehmtula 2014 Collection



Modelling Auditions coming up on Sunday 18th August 2013
Dar-es-Salam, Serena Hotel
12pm-3-pm
Ladies and Gents, get ready to do the walk!



Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....

Fashion Fab: The Beautiful Flaviana Matata rocking a Zara Dress!!





Imagecredit:FlavianaMatata/Twitter
Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion entertainment, celeb gossip and more....

Tuesday, 16 July 2013

Hello from Sheria Ngowi


"The goal I seek is to have people refine their style through my clothing without having them become victims of fashion" says Sheria Ngowi via his instagram
I simply love his sense of style...the best Tanzanian in Men's Desiner Clothing I've seen so far...



Credit:IAMSHERIANGOWI/Instagram
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....




Nani Zaidi: Prezzo vs Diamond Platnumz


Diamond Platnumz

 
Prezzo

Prezzo na Diamond Platnumz wana issues going on...according to Bongo5 news, Prezzo amekataa kuomba msamaha kwa Diamond via Twitter kwa madai kwamba Diamond ndiye aliyeanza uchokozi. Wakati Diamond alipotumbuiza kwenye tamasha la Matumaini mwanzoni mwa mwezi huu, ndipo Prezzo alipogundua kwamba Diamond alimponda sana kwenye magazeti ya Tanzania kwamba Prezzo hawezi mfikia yeye kwa lolote kwenye Muziki.
 Prezzo alisema,
"Mimi sipendi kuwa na adui kwa sababu muziki unafaa kuleta muungano. sa me nikashangaa mbona huyu brother ananiingilia na huku sikumbuku kumkosea wala hatujawahi kukutana ana kwa ana."

Hii inaonyesha kwamba Diamond anapenda uchokozi. Au ndio anataka kuwa kama American rappers wanaopenda kuanzishiana beef zisizokuwa na kichwa wala miguu...
Kama ni kweli, then inaonyesha ni kweli mambo ya kitoto na ya kizamani sana!
Nani zaidi kati ya Diamond na Prezzo?!




Credit:bongo5
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....



BBA: FEZA KESSY ATANGAZA NIA YAKE YA KUZAA NA MSHIRIKI WA BOTSWANA NDANI YA BBA HOUSE!!


Huenda Jay (mtoto wa kiume wa Feza Kessy) anaweza kupata wadogo zake wa kucheza nao soon. Hiyo ni kutokana na mama yake anayeiwakilisha Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’ kumwambia mchumba wake raia wa Botswana, Oneal kuwa angependa azae naye watoto.
 
Wapenzi hao waliopo Ruby House walikuwa wakiongea mipango kuhusu uhusiano wao kwenye chumba cha Rendezvous mjengoni humo.
  
“Please put a little thought into your answers,” anasikika Oneal akimwambia Feza.
  
Natamani tungekuwa na mazungumzo haya bila kamera zozote zinazotuzunguka,” Feza alimjibu Oneal.
 
Lakini baadaye alimjibu, “Nataka furaha na wewe, future, nataka mahaba, nataka watoto, nataka maisha na wewe.” 

Hata hivyo Feza amekisema kitu kinachomkwaza toka kwa Mbotswana huyo anayefanya kazi ya UDJ nchini mwao kuwa wanapokorofishana yeye huondoka bila kuyamaliza japo amesema atajaribu kumwelewa.
  
“I know I am a complex man, I don’t even understand myself at times,” alikiri Oneal.



Source:talkbongo
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....



Bongo Gossip: SAKATA LA SHEIKH ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JIJINI ARUSHA SIRI NZITO ZAFICHUKA...!!

Matukio ya kigaidi yanayoendelea kuuandama mkoa wa Arusha, ambapo Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mkoa wa Arumeru, Said Juma Makamba amejeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa maji yanayosadikiwa kuwa ni tindikali....


Shehe Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Said Juma Makamba.
Tindikali hiyo inadaiwa alimwagiwa na watu
wasiojulikana usiku akiwa nyumbani kwake ambapo kiongozi wa Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) mkoani hapa ameanika siri nzito kwa kusema kuwa aliyefanya unyama huo ni gaidi.
 Kaimu Mwenyekiti, Shehe wa Bakwata Mkoa wa Arusha, Abdallah Masoud alisema juzi kuwa Makamba amefanyiwa kitendo cha kigaidi
 ambacho kiliwahi kufanywa pia kwa Katibu wa Bakwata mkoani hapa,
Abdullazizi Jonjo, Oktoba mwaka jana ambapo alilipuliwa na bomu la mkono nyumbani kwake akiwa wamelala na hadi sasa hali yake bado haijaimarika.
Alisema kuwa matukio hayo yamekuwa yakijirudia baada ya jeshi la
polisi kushindwa kuwatia mbaroni wahusika.
Alisisitiza kuwa wanaowafanyia viongozi wa kidini unyama huo wa kigaidi wapo ndani ya Uislamu na wamekuwa wakifanya hivyo kwa lengo la kudhoofisha uongozi wa misikiti.



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Liberatus Sabas.
Tumekuwa tukitoa taarifa polisi na kuwataja watuhumiwa lakini hatupati matunda ya kukamatwa kwa wahusika ingawaje wanajulikana,” alidai Shehe Masoud.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Liberatus Sabas alipoulizwa juu ya tukio hilo alisema kuwa polisi wameanza uchunguzi na alipobanwa kuhusu madai ya ugaidi akaongeza: “Taarifa nitazitoa pindi washukiwa watakapotiwa mbaroni kwani uchunguzi bado
unaendelea na hakuna anayeshikiliwa hadi sasa.”
Gazeti hili lilimtafuta Shehe Makamba aliyelazwa wodi ya majeruhi katika Hospitali
ya Mkoa Mount Meru, anakopatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya usoni, machoni, kifuani na mgongoni akasema kuwa tukio hilo lilitokea saa 5 usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita nyumbani
kwake Morombo jijini hapa wakati wakijiandaa kulala.
Shehe huyo ambaye pia ni Imamu wa Msikiti wa Sekei wilayani Arumeru, alieleza kuwa baada ya swala alirejea nyumbani kwake na kabla ya kulala alienda kujisaidia katika choo cha nje na kwamba wakati akirudi ili aingie ndani ghafla aliona mtu akiwa amesimama.
Wakati nikijiuliza kuwa huyu ni nani ghafla mtu huyo alinimwagia majimaji yaliyonilowanisha usoni na kifuani na kuanza kusikia maumivu makali sana sehemu hizo, nikaanza kupiga kelele kuomba msaada kwa majirani ambao walifika na kunileta hospitali kwani macho yalikuwa hayaoni” alisema Shehe  Makamba.
Alidai kuwa anaamini tukio hilo la kigaidi limetokana na ugomvi wa
madaraka ndani ya dini hiyo ambapo kwa muda mrefu kumekuwa na
msuguano wa Waislamu kugombea kuongoza misikiti mbalimbali.





Source: Gumzo la Jiji
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....

Look Good, Feel Good with ZuRii Fashion Boutique!!




 


ZuRii Fashion Boutique is a lovely brand new boutique located at Sinza Legho, Dar-es-Salaam behind Rombo Greeb View Hotel. They provide affordable, beautiful. good quality, fashionable clothes, shoes, handbags, accessories for kids and ladies. 
For more info or directions,
 call them on 0659189769 or 0752019597


 

Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....

BALLER LOVE: Keri Hilson & Serge Ibaka

 photo dsc_2634_zps65418ccb.jpg

 photo ScreenShot2013-07-15at74733PM_zps25254e97.png

 photo ScreenShot2013-07-15at74836PM_zps40134c7a.png

Serge Ibaka of the OKC Thunder was spotted with his boo Keri Hilson at Compound nightclub in Atlanta last night. How cute!


Source: PrinceWillims/ATLpics.net
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.....



Sunday, 14 July 2013

Diamond Platnumz: Michael Jackson wa Bongo....


I'm a big fan of Diamond Platnumz. So last weekend I was going through his videos on youtube with my friends. I told them that Diamond has become the Tanzanian Michael Jackson...! See how his fans were cheering for him outside his hotel window in Congo...
Check out the clip and tell us what you think...



Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.... 

Weekend Fab: Time with Family....@ Hyde Park



Doris, Baby Lian and I



Baby Lian playing with Uncle's shades....cute!!


Doris and I. Although I've been very ill, I managed to go to the park to chill out with my swollen cheecks....I've had the worst tooth ache ever...! Thanks God its now getting better. No more ice lollies lol!