Saturday, 23 February 2013

Mimi na Tanzania: Madawa Kijiweni Tandika, Dar-es-salaam, Tanzania




This was recorded last year. Mmmh! Jamani, mpaka leo sielewi ni kitu gani kinafanya mtu awe drug addict. Sasa kama hawa ndugu zetu Tanzania, yaani maisha yao sio mazuri kabisaa, lakini bado tuu wanataka kuendelea na hayo madawa yao.
Wenzngu mna ushauri gani kwa watu kama hawa??


Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more......

No comments:

Post a Comment