Friday 13 September 2013

MWANAMKE AMCHOMA MOTO MWANAUME ALIYEMBAKA BAADA YA KUMKARIBISHA NYUMBANI KWAKE 'KUONGEA'....


Mwanamke mmoja aliyebakwa alikuwa anaact kama anataka kumsamehe mwanaume aliyembaka miezi michache iliyopita akiwa amemtishia kisu. Mwanamke huyo aliamua kumkaribisha nyumbani kwake ili wafahamiane vizuri na pia wajadiliane maamuzi kuhusu kesi yao ya ubakaji nje ya maamuzi ya mahakama.

Habari zilizokusanywa na Reportghananews.com zinasema kuwa mwanaume huyo alipofika tu, mwanamke (aliyebakwa) alimpa sehemu ya kukaa alafu akamwambia kwamba anaenda kumwandalia chakula ila alikuwa na kisasi akilini mwake.

Manamke huyo aliyebakwa alipanga na kaka zake kumpa fundisho mbakaji huyo. Kwa msaada wa kaka zake alimmwagia mafut ya taa mbakaji huyo na kumchoma moto,

It looks like there's also no justice in Ghana, same difference with my country Tanzania, had this scenario occurred in Tanzania, I bet those rapists would have learnt a good lesson!!

Credit: gumzolajiji/ghananews
Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more.......


No comments:

Post a Comment