Habari mpya ya leo inayosambaa kwenye blogs za Kitanzania ni kwamba Agnes Masogange ambaye ni video vixen maarufu nchini, amevishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil. 16 za Kitanzania.
Habari zaidi zinadai kuwa Agnes ni mjamzito na alipoenda Afrika Kusini hivi juzi kumuambia jamaa aliyempa mimba kuwa ana ujauzito wake, Jamaa huyo alifurahi sana na kumvisha Agnes pete inayoonekana hapo juu kwenye picha ambayo Agnes mwenyewe aliweka picha hiyo katika mtandao mmoja wa kijamii na kuandika maneno yasemayo "mama kijacho."
Kama habari ni za kweli, we wish her all the best!!
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....
No comments:
Post a Comment