Thursday, 19 September 2013

TANZANIA YATENGWA RASMI NA (EAC)


Hatimaye Tanzania imewekwa kando rasmi na wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), katika kuunda Shirikisho la Kisasa litakaloziongoza nchi hizo.

Tayari marais wa nchi hizo Paul Kagame wa Rwand, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi wamekwishafikia makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya Shirikisho ka Kisiasa la nchi wanachama wa EAC bila kuishirikisha Tanzania.


News:Mtanzania
Follow me on Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more...


No comments:

Post a Comment