Saturday, 22 June 2013

Mini Buzz: Hali ya Elimu Mkoani Arusha(Tanzania) Ikoje?


Wanafunzi wengi hawana muamko wa kielimu. Wanahitaji motivation pia. Hali ya Elimu mikoani bado iko nyuma sana. Wanafunzi wengi wanahitaji misaada, kama madarasa, madawati etc. Wako katika hali duni sana...! Serikali yetu bado inasafari ndefu sana ya utoaji wa msaada wa kielimu.
Je wewe unamaoni gani? Hii hali duni ya Elimu ndio inasababisha wanafunzi kufeli mitihani?




Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook  @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....

No comments:

Post a Comment