Wednesday, 26 September 2012

Ufunguzi wa Jengo la Epiq Bongo Star Search...


Madam Ritha akikata utepe katika uzinduzi rasmi wa EBSS House jana jioni

Madam Ritha, Chief Judge akifungua mlango wa EBSS house rasmi baada ya sherehe ya uzinduzi kuanza.

Madam Ritha akiwatembeza viongozi wa Zantel ndani ya nyumba.

Madam Ritha akiwaonyesha wageni nyumba (Uongozi wa Zantel). I must say, her dress is beautiful, but I think the choker made it look a bit too much...

Washiriki walioingia Top 12 kwa pamoja wakiwakaribisha wageni baada ya mlango kufunguliwa

Baadhi ya washiriki walioingia Top 12 wakiwa wamepozi ukumbini

Top 12 na uongozi wa Zantel kwa pamoja. Kila mshiriki alizawadiwa Samsung Galaxy kutoka Zantel hapo jana katika sherehee hiyo.

Mshiriki Salma Yusuph akipokea simu kutoka kwa Sajid Khan, COO wa Zantel

Mshiriki Menynah Atiki akionyesha simu aliyozawadiwa na uongozi wa Zantel.

Norman Severino akiwa juu ya stage tayari kuwapa burudani wageni waalikwa.

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika sherehe.

Image Credit:dartalk
Follow me on Twitter @leilamaingu or Facebook @leilamaingu for news, fashion, entertainment, celeb gossip and more....



No comments:

Post a Comment