Monday, 23 July 2012
Beauty: Tips for beautiful eyelashes
Music Fab: Hussein Machozi 'Addicted'
Beautiful song by Hussein Machozi...yeah Bongo Flava's getting there slowly...
Sunday, 22 July 2012
SAD NEWS: Tameka Raymond's Son, Kile Glover, Has Been Removed From Life Support

In extremely sad news, Tameka Raymond's son & Usher's stepson, Kile Glover, has reportedly been taken off life support...
Tameka's last tweet was the above pic of her sons Kile and Usher V. Our prayers are with Tameka as it is being reported that the family has taken 11-year-old Kile off of life support.....
I can only imagine how Kile's Mom (Tameka Raymond) feels...the worst pain a mother can get in life is when they loose their child. I've been following up on Kile's progress all over the internet, and right now, I feel very sad for the family.
Image credit:theybf
Saturday, 21 July 2012
Friday, 20 July 2012
Mamia wajitokeza kutambua ndugu zao waliofariki kwenye ajali ya Meli (MV Skagit) Zanzibar...
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.

Baadhi ya Wananchi waliozitambua maiti zao katika Viwanja vya Maisara wakisaidiwa na Askari kutokana na Huzuni kubwa waliokuwanazo.kwa kuzama kwa Meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbaliombali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata Taarifa mbalimbali za kuletwa kwa Maiti ambazo zimepatikana katika ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar
Wananchi mbalimbali wakizitambua Maiti zao zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit ilizama zikiteremshwa katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ili kutambuliwa na Jamaa zao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
Madaktari wakiandika Orodha ya Maiti zinazoletwa hapo katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar Baada ya kupatikana kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar
Wahusika wa Matayarisho ya Mazishi ya watu waliokuwa bado hawajatambuliwa na Jamaa zao ili kuzikwa kiserikali wakiwa katika kazi ya kutayarisha Sanda hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar
Picha na habari kwa hisani ya Mrokim blog
Subscribe to:
Posts (Atom)
