Friday, 30 December 2016

"Jenga kwa mpango, Epuka makazi holela"

Image may contain: 1 person, sitting

 Nikiongea na wafanyabiashara kuhusu uwezo wa kumiliki kiwanja kilicho pimwa na kupatiwa hati ndani ya miezi mitatu/minne kwa njia za mikopo kupitia benki tunazo shirikiana nazo.